No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Hili swala limekuwa Gumzo kwa sasa katika jamii yetu kuanzia vijana mpaka watu wazima haijalishi we ni nani upo wapi una cheo gani,limekuwa likisababisha changamoto mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Sema chochote,uliza chochote kama kuna lolote limewahi kukutokea Hapa ndio pa kuelezana....lengo watu tujifunze kutokana na changamoto hiii Ahsanteni. Naanza na swali langu mwenyewe,Hivi kitu gani hasa tunaweza kuwafanyia wenza wetu ili waache kuchepuka?