the happiest man
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 253
- 215
Mimi ni kijana umri miaka 27 mjasiriamali na mkulima ambaye pia namalizia elimu yangu ya chuo(shahada ya uhasibu) dini yangu mkiristu (mkatoriki) naishi DSM nahtaji mwanamke vigezo miaka 21above...dini sichagui...kabila asiwe mzaramo,mkwele na wale wa mwambao wa pwani