Swali langu limepata majibu sahihi...unaweza kuyaatathimini na wewe ujifunze kitu

the happiest man

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
253
215
Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
  • Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
  • kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
  • Kusahausahau,
  • Kupendelea story za mapenzi,
  • Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
  • Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
  • Kuumwa na kichwa,
  • Kukakamaa mgongo (wanaume),
  • Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
  • Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
  • Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
  • Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.


SOURCE; www.muungwana.co.tz
 
Hapo kuna mambo mawili nakuunga Mkono.
1> kuingilia mambo yasiyo kuhusuu
2>kusahau sahau
3>kupoteza umakini ktk kazi muda woote we unajihisi mgonjwaa...kutamani kulala lala ovyoo
 
Jamani tufanyeni mapenzi kwa juhudi madhara yamewekwa hapo juu so usinyime mtu anaetaka kuunganisha vikojoleo na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom