Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Habari,ni binamu wa rafiki yangu kaja kwa rafiki yangu jana jion akiwa analia akidai kwamba mpenzi wake waliedumu nae takriban miaka mitano sasa kampa mimba binti mwingine ila huyo binti anavodai anadai huyo mwanaume kamwambia hawezi kumuoa huyo binti aliempa mimba bali atamuoa huyo binamu wa rafiki anadai yeye kwa huyo binti atalea tu mimba na mtoto,binafsi nimemshauri aachane nae tu maana ishaonekana kijana si muaminifu na wazazi wengi huwa hawaachani sabu mtoto huwa anawaunganisha,na wengine mshaurini afanye nini kwa hilo lililomkuta?