Hali hii Itanishinda

Saif Mohamed

Member
Oct 2, 2013
49
49
Habari za Humu Wakuu

Uzi huu ni kwa niaba ya mtu...

Kuna jamaa alikua kaoa mda mrefu tu baada muda kulikua na matatizo ya huyu jamaa na mke wake balaa haliishi nyumbani kila siku kelele mke wake haishi kelele yaani ni DAILY ISSUES .
Huyu jamaa ikabidi AOE mke mngine ili apate nyumba ndogo ya kupumzikia . Mambo yakaenda bomba siku za mwanzo mpaka wakaenda HONEY MOON na Bi Mdogo wakarudi , sasa chakushangaza hii Njemba day by day ameanza kumchangia bi mdogo hamuulizi cha kheiri wala cha shari bi mdogo hapati haki zake kiujumla . Swali je huyu jamaa alioa ili amkomeshe mke wa mwanzo ? au alimuoa bi mdogo anataka kumtumia ili mke wa mwanzo akae sawa au vipi ?

Ushauri Please seriously .
 
Back
Top Bottom