Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Kuna mambo yanauma sana kabla ya pasaka kuna demu wangu tulipanga tukutane leo basi mm nimejiandaa nikapanda gari hadi meeting point nikaanza kutuma meseji kimya nimeganda hapo ww simu kimya nikaona bora niende coco bearch kupunguza hasira natafakari nimpe adhabu gani
1:aniludishie nauli yangu
2:ya pili anitafute yeye mwenyewe sjmfuati tena
nb wanawake muwe na utu sio kufanyiana mambo kama aya
Mrejesho
SAA 12:00 nipo coco bearch nikiwa najitukana Mara napata meseji yake eti tumbo linamuuma awezi shika simu