comesucces
Senior Member
- Feb 21, 2017
- 160
- 105
Jamani kwanza nianze na heri ya pasaka kwenu
Mimi ni Kijana machachari sana lakini ni MTU mmoja mwenye malengo makali sana na mara nyingi huwa napenda kutoa ushauri kwa watu mbalimbali wenye matatizo ya kiuchumi lakini katika pitapita yangu nimewahi fanyia kampuni moja ivi ya ujasiriamali, na huko tulikuwa tunakaa watu wengi sana na mchanganyiko wa jinsia zote na kawaida yangu ilikuwa kulala na wasichana siku zote ila siyo kwa maana ya mapenzi, laa, bali kama usingizi wa kawaida kama ilivyo katika maeneo mengi ya watu mchanganyiko.
Sasa kuna binti mmoja ivi tulijenga mazoea sana kwao Kyela huko ko muda fulani hivi tukaamua kuachana na masuala ya kampuni na kufanya shughuli kila mtu yake, sasa maisha yalivompiga akaamua kunipigia simu kuwa anataka aje kuna sehemu amepata kazi. Kama ilivyo tabia yangu sinaga kwere nikamwambia aje sasa baada ya kuja kazini kukabuma na tukaendeleza life kigetogeto tukiwa maboy watatu na girl mmoja lakini baada ya muda kadhaa nikaona majirani wanamwita wifi.
Sasa kidume kuona hata sijawahi kutembea naye japo usiku analalia upande wangu na tunakumbatiana vizuri mpaka asubuhi lakini hatufanyi chochote, japo usiku huwa namshika sana hadi papuchi nagusiagusia kwa juu lakini hata sikumshawishi. Baadaye majirani walikoleza kumwita wifi kwahiyo nikajitosa nikamtongoza kakubali na inatokea muda mwingine tunasafiri siku tatu huko tunalala gest siku hadi tatu kitanda kimoja na kuendelea na michezo ya hapa na pale lakini ninachotaka mnisaidie ni kwamba huyu dada hataki kunipa kabisa papuchi, hadi namwonea huruma anavokatalia.
Hivi tatizo nini analo na nikimtishia kumwacha anadhoofika sana anadai bado ananipenda. Sasa mimi nifanyaje hataki kunipa kama mwezi hivi unakata, kweli ana msimamo mkali tu? Hivi wanawake njooni mtusaidie nini hasa huwa mnakuwa hivo muda mwingine?
Mwenye mbinu mbadala naomba nimfanikishe huyu kiumbe maana ni mzuri hatare.