msaada wakati wa engagement.

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,879
15,458
wakuu,ebu leo tutoane tongo tongo kidogo hapa,eti wakati wa kumvika msichana Pete ya uchumba,ukishamuuliza Yale maneno "will you marry me"? akakubali,then what next unatakiwa kuendelea na blah blah blah gani hapo?
au natakiwa kuendelea kumdanganya na yale maneno matamu kama vile "I am into you with all my Faith that's why I'm giving you my heart,mind,body and soul" afu ni lazima engagement iwe na wageni waalikwa au mnaweza fanya wenyewe tu mkiwa ghetto wawili?
tuelimishaneni wakuu,tusije tukaaibisha familia zetu siku ya siku.
 
Hayo maneno hapo unatongoza upya???? Au

Kama upo sirias lazima liwe tendo rasmi. Lazima ndugu jamaa wawepo japo kuwapigia makofi na kuwa mashahid bro...

Kuna baadhi ya makanisa engagement zinafanyika huko. Mchungaji anabariki tendo hilo na kuwapa mafundisho ya namna ya kuishi paka mtakapo funga ndoa.
 
Back
Top Bottom