Ukaribu wenye kutia shaka sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,760
730,010
Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha wake
Kwanza ni lazima tutambue kwamba mojawapo ya hitaji kubwa sana la mwanadamu ni kupendwa, mengine ni kuheshimiwa kuthaminiwa kusifiwa na kutambuliwa utu wake
Kwenye kipengele cha mahusiano, swala la ukaribu lina nafasi yake muhimu sana...kwamba ni nani una ukaribu naye kwa muktadha gani, rafiki? Mpenzi? Mdau? Nk nk
Mahusiano ya kimapenzi ni tofauti kabisa na mahusiano yako kirafiki na katikati ya hayo mahusiano ya kirafiki kuna tofauti kubwa kati ya Kuwa na rafiki wa kawaida wa Jinsia moja na Jinsia tofauti
Ni kwa muktadha huo wa utafauti wa kijinsia ndio watu huweka shaka wanapoona marafiki wawili wa Jinsia moja wanafanya vitu vilivyopaswa kufanywa na watu wa Jinsia mbili tofauti
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
Mambo ya protocol ni ujuzi na kitengo hicho inabidi kiwepo na kiheshimiwe na kutambuliwa... Unaweza kudhani hakina maana lakini kuna umuhimu mkubwa sana kwenye mambo ya kitaifa
Ifike tu mahali tuache ujuaji na kuacha mgawanyo wa madaraka uwe ndio mwongozo wetu
 
Kama kulia kwake alikaa Waziri wa Ujenzi basi kushoto alitakiwa awepo Waziri wa Elimu au first lady..Mbona Mkulu anapokuwa Mikoa mengine kikazi hatuona ratiba kama za Mkoa wa Dar wala hatuoni picha zenye utata wa Kiitifaki kama zile. Ndio maana vijana wanauliza kampa nini mpaka hajitambui?
 
Ebu weka kapicha na sie tujionee basi mkuu ndukiiiiii!!!!!
 
Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha wake
Kwanza ni lazima tutambue kwamba mojawapo ya hitaji kubwa sana la mwanadamu ni kupendwa, mengine ni kuheshimiwa kuthaminiwa kusifiwa na kutambuliwa utu wake
Kwenye kipengele cha mahusiano, swala la ukaribu lina nafasi yake muhimu sana...kwamba ni nani una ukaribu naye kwa muktadha gani, rafiki? Mpenzi? Mdau? Nk nk
Mahusiano ya kimapenzi ni tofauti kabisa na mahusiano yako kirafiki na katikati ya hayo mahusiano ya kirafiki kuna tofauti kubwa kati ya Kuwa na rafiki wa kawaida wa Jinsia moja na Jinsia tofauti
Ni kwa muktadha huo wa utafauti wa kijinsia ndio watu huweka shaka wanapoona marafiki wawili wa Jinsia moja wanafanya vitu vilivyopaswa kufanywa na watu wa Jinsia mbili tofauti
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
Mambo ya protocol ni ujuzi na kitengo hicho inabidi kiwepo na kiheshimiwe na kutambuliwa... Unaweza kudhani hakina maana lakini kuna umuhimu mkubwa sana kwenye mambo ya kitaifa
Ifike tu mahali tuache ujuaji na kuacha mgawanyo wa madaraka uwe ndio mwongozo wetu
Umepata ibada leo au umesali nyumbani? Wenzio tunaenda Pagoda sasa hivi mi na First Gentleman wangu bila viatu ila tupo beneti maBashite hawafiki karibu.
 
tunamalizia msiba dada
 
Wana MMU na JF kwa ujumla pamoja na kwamba niko kwenye kipindi cha majonzi lakini nimewiwa kuandika hili... Hili la mahusiano yenye kutia shaka sana... Nimeamua kuileta huku kutokana na muktadha wake
Kwanza ni lazima tutambue kwamba mojawapo ya hitaji kubwa sana la mwanadamu ni kupendwa, mengine ni kuheshimiwa kuthaminiwa kusifiwa na kutambuliwa utu wake
Kwenye kipengele cha mahusiano, swala la ukaribu lina nafasi yake muhimu sana...kwamba ni nani una ukaribu naye kwa muktadha gani, rafiki? Mpenzi? Mdau? Nk nk
Mahusiano ya kimapenzi ni tofauti kabisa na mahusiano yako kirafiki na katikati ya hayo mahusiano ya kirafiki kuna tofauti kubwa kati ya Kuwa na rafiki wa kawaida wa Jinsia moja na Jinsia tofauti
Ni kwa muktadha huo wa utafauti wa kijinsia ndio watu huweka shaka wanapoona marafiki wawili wa Jinsia moja wanafanya vitu vilivyopaswa kufanywa na watu wa Jinsia mbili tofauti
Kuna picha imezua mjadala kwenye mitandao yote ya kijamii, mkuu wa mkoa kukaa upande wa kushoto wa mkuu wa kaya kwa mfuatano huku mwenye nafasi yake akiwekwa mbali na mhusika mkuu
Inawezekana kabisa imefanywa makusudikally lakini kwa hulka ya mkuu mimi nakataa kabisa
Kuna vitu unaweza kuona unaokoa gharama lakini matokeo yake ukaleta shida kubwa katika jamii
Mambo ya protocol ni ujuzi na kitengo hicho inabidi kiwepo na kiheshimiwe na kutambuliwa... Unaweza kudhani hakina maana lakini kuna umuhimu mkubwa sana kwenye mambo ya kitaifa
Ifike tu mahali tuache ujuaji na kuacha mgawanyo wa madaraka uwe ndio mwongozo wetu
Pole sana kwa kuondokewa mkuu, nadhani lengo kuu la hiyo arrangement hapo ilikuwa ni kuhakikisha mkuu wa mkoa hakatwi katika hiyo picha na arudi katika kurasa za mbele za magazeti.
 
Back
Top Bottom