Nahitaji mke

Mimiwikolo

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
218
19
Hi,

Rafiki wa kike anahitajika then aje kuwa mke if God wishes. Am 36, graduate nimeajiriwa serikalini, niko Dar. Uwe atleast na diploma, mwenye ajira.

Uwe Mkristo (Protestant/Pentecost). Umri 26 - 31, usiwe na mtoto. Uwe mweupe/maji ya kunde na sio mnene, vizuri uwe mwembamba.

Karibu ni PM
 
hivi kwa nn hampendi wanawake weusi kila anaetafuta mke kigezo cha rangi maji ya kunde au mweupe lazima kiwepo
King'aacho ndio mpango mzima, ndio maana siku hizi KE wanaojichubua au wapaka mkorogo wameongezeka maradufu kutokana na hilo
 
Nina jirani yangu mmoja hapa Ana sifa zote izo unazohitaji vp nikikuunganisha nae mim ntapata nin toka kwako?
 
msitufanyie hivyo na sisi weusi nani atatutaka kama wote mnapenda weupe
Hapana mkuu wanaume wanapenda KE asilia sio midoli wanaijichubua, kwanza kala original ndio nzuri kwa hiyo hao wanaotumia mikorogo sijui wana inferiority ideas kutokana na colour zao but kwa cc wa central zone white colour kwetu ni kawaida kwa hiyo tunavyochukua white KE ni muendelezo wa toka babu zetu but kuna ME pia wanapenda black/ chocolate colour cha muhimu ni usafi na kudumisha uasilia wako na sio kufuata mkumbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom