CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Kuna uzi unatambaa sana watu wanatoa confession zao, wengine wakijutia na wengine wakijisifu kuwa ilikuaje wakatembea na wake za watu...
Kwa sababu confession ni za vijana walio tembea na wake za watu (ukimtoa miss chagga na Mamndenyi) Basi ni dhahiri kuwa 90% ya wanandoa wanaochepuka ni wanawake.
Hilo halina ubishi!!
SASA WAKUU:
Mie sijawahi kutembea na mke wa mtu...
Sikuwahi kufikiria kabisa uchafu huo.. Lakini sasa naona kabisa hakuna namna!!
Niliwaambia kuwa kuna mke wa mpangaji wenzangu (ni mama mtu mzima kanizidi kama miaka 15 na kidogo) anajilengesha lengesha sana...
Huwa ana mazoea ya kuniomba hela elfu 10, 5, Mara 3 akiahidi kuwa mume wake akirudi atanirudishia..
Cha ajabu cku zinavoenda anakua hanilipi na kuniomba tena hela zingine... Nikimwambia njoo getto uchukue anasema
"Wapambe wengi, mpe mtoto wangu aniletee.. Ukitaka tupige story tafuta sehemu iliotulia uniambie nije"
Leo ndio siku ya kulipana pesa zangu.
Naenda ku book room pale MIC Hotel Ubungo.. Then namwita.
Lazima nimgonge leo. Nasema hivi leo lazima nimgonge.
Wanaume mliooa muwe mnawajali wake zenu...
Sie tutaendelea kuwa saidia kama mnapuuza shauri yenu!!
Ndio naingia hapa kuchek room wakuu...
Nitawapa mrejesho jioni.
Halafu hii mitaa ina hotel kibao aisee...
MIC, KAGAME, na ile pale sijui inaitwaje mpaka niikaribie..
Khaaaaa!!!
Hivi nimebeba Soksi kweli... Ooh hizi hapa!!