Hapa ndipo nashindwa kuwaelewa wanaume

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,020
Wanaume bhana ukiwa mjuaji wa mamboz utaitwa kahaba changudoa ukiwa hujui utaitwa gogo sijui golikipa, ukiwa unamjulia hali mara kwa mara utaitwa msumbufu, ukiwa unamchek mara chache utaambiwa humjali na ukiwa na wivu nae utaambiwa hujiamini, usipokua na wivu nae utaambiwa humpendi hapa ndo huwa siwaelewi.

Duuh nyie viumbe wanaume mmenishnda, mie na punyeto tu.
 
We kisugue tu kwa raha zako.
 
Mkuu ivi iyo punyeto UA unaifanyaje,..?
 
Sio tatizo la wanaume ni suala la opinions za wanaume tofauti kama ingekua kila mwanaume ana set ya matatizo hayo ndio ungesema wanaume shida ila kati ya hayo uliosema kila mwanaume ana chake anachopenda na asichopenda ..

Shida ipo kwenu wanawake nyie wenyewe kwanza hamjielewi mnahitaji nini, mnaishi kwa nguvu za hisia zenu tu leo hisia zikikutuma hivi unakua hivi zikikutuma vile unakua vile .. ..

Na ndio maana wanawake kwa wanawake hampendani kwakua wote hamuelewani
 
Wanaume bhana ukiwa mjuaji wa mamboz utaitwa kahaba changudoa ukiwa hujui utaitwa gogo sijui golikipa, ukiwa unamjulia hali mara kwa mara utaitwa msumbufu, ukiwa unamchek mara chache utaambiwa humjali na ukiwa na wivu nae utaambiwa hujiamini, usipokua na wivu nae utaambiwa humpendi hapa ndo huwa siwaelewi.

Duuh nyie viumbe wanaume mmenishnda, mie na punyeto tu.

Utakuwa umekutana na wanaume wengi kweli, maana mmoja hawezi kuwa na tabia zote hizi!!!!! ushauri: TAFUTA MWANAUME MWENYE udhaifu ambao waweza kuchukuliana naye, na waache wengine!!!!!
 
Ninachomshukuru Mungu ni kwamba wanaume hatuchuji yaani ubora wetu haushuki aisee tofauti na nyie wanawake
Mwanamke aliyezaliwa 1980's kwa sasa asituwekee foleni
 
Mwanaume ni kiumbe cha kuonea sana huruma katika dunia hii maana wao hawajui nini wanataka wala ni muda gani wanataka.Utakuta mtu kutwa na videmu lakini hataki mkewe ajue na ana ficha kwa mbinu zote sasa huwa najiuliza kwa nini ulioa!mwingine muda wote na washkaji bar , nyumbani haonekani hajui hata mtoto yuko darasa la ngapi?
Basi huwa wapo wapo tu hawajui A wala Be akili zao zilenda na lile TUNDA...
 
Back
Top Bottom