Baba Adele
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 208
- 229
Habari waungwana hope mo salama salmin.
Baada ya salam naomba mnisaidie uzoefu juu ya suala la mapenzi.
Mimi ni kijana km vijana wengine wa kitanzania wabangaizaji, hali ya uchumi ni "hand to mouth economy" nadhani naeleweka.
Kwa kawaida vijana hua tunapitia ktk mahusiano ya kimapenzi kwa sababu za kibailojia.
Tatizo ninalokutana nalo ktk .mahusiano ni kua na girfriend ambae muonekano wake, mahitaji yake, na maisha yake kiujumla hayafanani na mimi.
Labda unaweza jiuliza kwanini nilianza nae hali ya kua hatufanani?
Jibu ni kwamba chanzo cha mahusiano kina sababu nyingi tofauti, mara nyingi hua najikuta nipo ktk mahusiano na wanawake wenye hadhi ya juu sana kuliko nilivyo na wakati nipo ktk mahusiano najikuta nashindwa kukidhi mahitaji ya mwanamke sababu kila kitu kwake ni gharama na hivyo ndivyo nilivyomkuta.
Hivyo najikuta sina amani ya mapenzi kwakua siwezi ku provide mahitaji nahisi yapo yanayoendelea nyuma ya pazia, lakin najiuliza baada ya huyu mwanamke kugundua kua siwezi kukidhi mahitaji yake kiuchumi kwann haniachi?
Na kibaya zaidi unakuta najua x wake alikua na nani? Na pengine x wake alikua boss wangu, na maisha aliyokua akiyaishi nayajua, hajui kupanda daladala, wala bajaji lakini kwangu anapanda, hajui lodge ya elf 30, lakin kwangu anaingia, simu anayomiliki ya milion na nusu, tena anazo 4.
Marafiki wanasema lazma kuna mtu anaemuwezesha wewe amekupenda tu. Najitahidi kusimamia show mwenyewe ili niwe mwanaume kamili, sipendi kulelewa na km sina hua nakua muwazi, akijisikia kutoka hua anatumia neno hili. " nyumbani kuna boa natamani kutoka nikake mahala flani mpaka jioni lakin sina hela" nakosa pozi kabisa.
Basi maisha yanakua yakihoro, ukiangalia mtoto wa kiasia, nywele mpaka mgongoni, anajitahid kua normal ili asiniumize ktk matumizi sababu anajua siwezi lakin mm napata tabu kwakua nitakapo kaa nae si pa hadhi yake, nitakapo lala nae si stahiki yake.
Sasa hii hali ya kuhisi unasaidiwa japo anakuheshimu na anakuonesha mapenzi lakin kama mwanaume unahisi kua kuna kina miss na kinakosesha raha.
Kuhusu kujiuliza labda wapi anapata pesa, ukiachama na the current one, the former ones unakuta anafanya kazi au biashara, lakin ukifanya hesabu za maisha anayoishi na anavyo posssess huapati uwiano sasa unabaki kimya tu.
Unajisikiaje kwa mfano anakwambia anaenda shopingin shopers, na wewe km boy hujahusika kwa lolote, then she sends pics akiwa anajaribu nguo ili umwambie kua hiyo imekupendeza au laa wakati huna ulichochangia. Daah. Jamani haya maisha yapo km si mm tu inawezekama na wewe yanakutokea embu tushauriane maana hali ya kujihisi haupo salama ktk uhusiano pia ni ugonjwa hasa kwa aina ya mapenzi ya sasa ya "MKONO MTUPU HAURAMBWI"