Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Happy muungano day!!!
Nchini mwetu wanawake wote ni wazuri lakini wapo wanawake wazuri zaidi kwa sura kuliko wengine!
Hata viongozi wetu wakuu wameoa wanawake wazuri wazuri, mfano JPM ana mke mzuri, JK ana mke mzuri, hata Mhe MKAPA ana mke mzuri.
Je ni kitu gani hasa kinatupelekea kusema yule mwanamke ni mzuri? Je ni sura? Mavazi?Uso?sauti? Ukubwa wa makalio? Macho? Au nini hasa?
KARIBUNI TUELIMISHANE!