Mimi napenda wanene kiasi, wembamba hawaniamshi kabisa

Mimi napenda wanene kiasi, wembamba hawaniamshi kabisa

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,072
Vipi wewe kwa upande wako? Binafsi wanawake wembamba vimbaumbau siwapendi kabisa itokee tu ila wenye nyama ahh swadakta kabisa.

Karibu kwenye mjadala wewe wanaokukosha ni wa aina gani?
 
ukimuuliza mwanamke swali kama hili utapata majibu mengi na ya ajabu
 
hata mimi napenda mizigo ya kibantu iliyojaaliwa nyama nyama.
 
VP wewe kwa upande wako??binafsi wanawake wembamba..vimbaumbau siwapendi kabisaa..itokee tu ila wenye nyama..ahh swadakta kabisaa....

Karibu kwenye mjadala..wewe wanaokukosha ni wa aina gani.


Kama unapenda Wanawake mabonge, basi haujui kusex vizuri, vinginevyo mtaalamu wa Sex hawezi kupenda chibonge!
 
I got it very well... Pole mahondaw wangu... You worry to much ndiyo maana... But all is good love....
tapatalk_1492852372640.jpeg
wewe mzee pumzika enz zako ulikua wapi??? Daby, kiwatengu njoon huku mnaibiwa
 
Back
Top Bottom