Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habarini humu ndani? moja kwa moja kwenye mada tafadhari! Ewe baba / mama ulikimbia majukumu ya kulea mpaka binti yako kapata kazi ndio unakuja kujitambulisha ili akupe walau robo ya mshahara wake...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mpo poa wakubwa. Hakika katika viumbe wanaonivutia katika kufanya mapenzi ni Kuku. Jogoo ni jogoo tuu. Wapo watu wanaomchukulia jogoo poa kwa kudhani anakojoa mapema lakini nataka nikwambie...
11 Reactions
79 Replies
12K Views
Mwanamke alimkimbia mumewe na akamuachia mtoto mwenye miaka mitatu. Sababu kubwa ya kumkimbia mumewe ni kwamba alipata boyfriend mwenye hela ambaye alikuwa akiishi Michigan huko Marekani. Huyo...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa? Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo. Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu.. Nafikiri nyote mu wazima na mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku. Leo nataka niwafahamishe nguvu au udhaifu wa nyota yako kupitia jina lako na la mamaako. Kwa kawaida...
4 Reactions
138 Replies
34K Views
Kuna wakati unaweza kumuomba mwanamke mtoko (dates) kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kubadilishana mawazo au uzoefu halafu anakwambia "sorry I'm in a relationship" lakini hataishia hapo atakwenda...
26 Reactions
195 Replies
16K Views
TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU WA KUSIKITISHA ILI KINA MAMA WOTE WAUSOME NA KUBADILIKA. Leo tarehe 27-04-2017 kuna dada amefiwa na mwanae wa miaka miwili aliyekuwa amelazwa hospitali kuanzia siku ya...
8 Reactions
58 Replies
16K Views
Za muda huu wadau. Hope mpo Ok. Karibuni katika interview. Kama mada ilivyo ni pana ila Tutajaribu kuangalia kwa ujumla ni kwa namna gani suala la online dating kwa context yetu ya kitanzania...
8 Reactions
263 Replies
17K Views
Hellow wanajamvi. Nina mchumba wangu yupo chuo fulani hapa jiji la Bashite. Kiukweli Mchumba wangu huyu ni mzuri kiasi na ninampenda sana kutokana na moyo wake wa kujitolea. Nipo nae huu ni mwaka...
19 Reactions
202 Replies
17K Views
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na taasisi ya Animal Behavior umeonyesha kwamba mbwa wadogo madume wanapocheza na majike huwaacha majike wapate ushindi kwa makusudi, licha ya kwamba mbwa hao...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hamjambo wanajukwaa hili? Nilikuwa nikipitapita wapi nitapata mpenzi; ndipo nimejikuta kutokea hapa JF (Love Connect) nikavutiwa napo naamini wengi waliopo hapa ni watu wasomi na waelewa pia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zénu leo niko nina feel so lonely naitaji kabinti kanako juwa ku make out kanitoe mawazo kesho week-end
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Msichana anayetaka kuolewa anicheki 0677287265 na miaka 25 . kabila lolote dini yeyote umri miaka mwisho 24 .mim ni mtumixh wa kuajiliwa ktk sekta flani kama upo serious piga namba hiyo
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa. Huu ni ushauri wa bure, bure kabisa kwa wanaume wenzangu, huu ushauri nawamegea tu kwa kua nawajali, hata siku ikitokea nimekufa najua nyie ndio mtakaonizika. Oeni wanawake...
16 Reactions
71 Replies
9K Views
Ujumbe wangu kwenu Jumapili hii ni mfupi tu Don't make her look stupid for loving you.. Just be Gentlemen, respect her feelins for u. Usifanye mtoto wa watu aonekane kama mpuuzi mbele za watu...
16 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeskia sana kuhusu hawa bachelor sugu mtaani wanajulikana kama toxic bachelor Aged 41-47, wengi wanakuwa wameamua kiwa single but not committed wao wanapenda bubaaa tuu na kukupa empty promise...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo. Sikatai mtoto mpende utakavyo, lakini jiulize na kesho yake itakuwaje? Kweli mtoto wa kidato cha kwanza hajui kufua, kupika? Daah! Gari la shule linaharibika hajui...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa? Kwa muda mrefu sasa nimekuwa muhanga kwa kumpenda sana mwanaume kiasi cha yeye pia kujua hilo. Kiukweli alinipenda na kunionyesha kunijali sana. Alisimamia kila nilipokuwa na...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa kawaida yangu mimi binafsi ninapomtongoza mwanamke huwa nakuwa nawaza jinsi nitakavyogegeda endapo atakubali. Nawaza mastyle nitakayokuwa namuweka nikiwa namgegeda na hii nadhani ni fikra za...
4 Reactions
170 Replies
15K Views
I don care kama yupo au hayupo....nimeshalia sana nina amani!# siwez kumrudia mie sio chizi ivo. Ur a good man...nice...u knows how to love and care!! Muelewa...sijawahi kukuona but i can say...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom