Hivi kweli UKIMWI bado upo!??

Nahisi hakuna UKIMWI tena..

Nina uhakika na ninachokisema..

Sijui kama ninyi mna mawazo tofauti.
upo sahihi kwa jinsi watu wanavyotifuana unaweza kudhani haupo.huko kunako magest na uswahilini ni balaa ,au watu wameshauzoea
 
ila kule kwetu wamegundua vitembe vya kumeza baada ya kushiriki vitendo ukajihisi si salama..yaaminika vitembe hivi vina uwezo wa kuzuia virusi
 
Ile taswira ya mtu mwenye UKIMWI aliyekondeana imeanza potea ndio inayokufanya uhisi hakuna Ukimwi. Kuna ARVs ndio maana unaona watu wananenepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom