Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,553
Tabia yako ndio utambulisho wako wa kwanza kwa jamii. Watu huijua tabia yako kwa kuyaangalia mavazi yako kwanza, ukiwa wa kutunyanyulia manyonyo na kuyaacha wazi kwetu unatufungua mishipa yetu ya fahamu juu ya ulivyo, ukiwa wa kuvaa mavazi ya kuacha mapaja nje utambue kuwa tunakuthibitisha rasmi ulivyo maskini wa maadili.