Kutaka kuanzisha Mahusiano na Demu wa Mshikaji wangu.

Geniustin

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
4,371
2,832
Wazee husikeni na Mada tajwa,

Kuna mdada mmoja ambaye yuko kwenye mahusiano na Mshikaji, ingawa uhusiano wao una matatizo, jamaa anamzingua sana huyo msichana. Afu Huyo msichana anampenda jamaa balaa

Ni hivi; Shetani kaanza kunishawishi nimvute huyo toto kwangu.Ale raha za Dunia, Isitoshe yeye mwenyewe huyo Duu ananifagi kiaina.

Nipeni ushauri; vipi nikifanya kweli Jamaa atajisikiaje akigundua.

NOTE;

Nataka niwe naye kwa mahusiano na nimuoe kabisa.
Na huyu Jamaa yangu ni mtu wangu wa karibu sana.

Thanks.
 
Huyo kicheche, unasema anampenda jamaa alafu kiaina anakufagilia, au wewe mdo tamaa zako??
 
Back
Top Bottom