emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,340
- 1,445
Habari zenu wanajf
Kama kichwa juu hapo kinavyoeleza ni kwamba nina jamaa yangu hapa mtaani jana amekuja home akiwa na majonzi alinisimulia mambo yalivyo home kwao yeye binafsi mama yake alifarki kitambo sana ila huyu wa sasa ni mlezi tu
Mara nyingi kuna kuwa na migogoro ambayo ni midogo tu ila huyu maza figisu nyingi inakuzwa hasa juzi kati jamaa kidogo alipiga pombe ila alirudi home fresh tu wala hakusumbua ila huyu maza alishaelewa jamaa kama kapiga vitu
Alichofanya akamkandia kwa mshua wake kwamba jamaa kaingia home hajielewi kaletwa na watu wamembeba daah kumbe jamaa aliingia home vizuri tu tena mapema...hasa kitu kilichonikereketa mm ni kwamba eti mzee kaja juu anataka kumchapa jamaa hivi kwel kiutamaduni au kiutandawazi dunia ya leo nisawa mtu mzima kuchezea fimbo..
Karibuni ndugu zangu..