Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Inakuwaje, umeoa mke mzuri tu au umeolewa na mume then baada ya mwaka unakutana na mtu wa ndoto zako, utafanyaje? Mf kwa wanachuo, kuna kasumba ya kuamua kuishi na fellow student as...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavojieleza. Ni tukio gani baya liliwahi kukutokea na kukuwekea historia mashani na kusema kamwe hutalisahau? Tukianza na mimi, sitasahau siku nilipokimbizwa na Tembo. Ilikuwa ni...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu, Nilileta uzi uliosema; Ushauri: Mpenzi wangu yuko hati hati kuachishwa kazi Mpenzi wangu baada ya kusubiria malipo yake mpaka leo ajalipwa anapigwa kalenda tu, mara ya mwisho ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekua na jambo linalonitatiza sana katika kutembea na jinsia tofauti sijawai date na msichana aseme hajanifananisha na boy au ndugu yake yoyote. Msichana wangu wa kwanza(o...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Wakuu salamu humu Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu ukubwa ndio umeshaingia.Tusaidiane maana najua hakuna jambo linaloweza kushindikana humu ndani. Hapa imeletwa barua juu ya meza, kijana kaleta barua ya posa, lakini barua inakuja wakati...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za week end wana JF? Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm. Am serious jamani Utani tuweke...
21 Reactions
151 Replies
16K Views
Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti. Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Ikiwa hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa, kuishi na hawa mama zetu inabidi kutumia akili Kubwa sana. Bila shaka hautashangaa kuwa akili zao huwa zinafanana sana, iyo isije ikakufanya eti kwa...
23 Reactions
299 Replies
38K Views
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you? Huo ni msemo wanao waingereza. Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu...
24 Reactions
154 Replies
19K Views
Salaam wakuu, Leo nilikuwa na miadi ya kukutana na kimwana wangu maeneo ya ghetto nilipomaliza mishe zangu nikamcheki hewani. Akanijibu "Baby nimeteguka mguu tutakutana J3 "nikamjibu "poa"...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 31 ni muajiliwa serikalini elimu yangu ni shahada Nahitaji mke mwenye nia ya dhati kujenga familia umli miaka 24 mpaka 33 Kwa alie serious napatikana kwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu mnaendeleaje poleni na majukumu. Samahani naomba kujuzwa hivi kifungua uchumba huanzia kiwango gani hususani kwa wachaga wa Marangu.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu, Mpenzi wangu yuko hati hati kupunguzwa kazi kwenye hotel kubwa jina kapuni, toka jana sina raha aliponiambia na tuko kwenye maandalizi ya kufunga ndoa hapa tulipo tumeshauriana hiyo...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
wakuu naomba kama upo interested, na kama unaweza kutuhadithia jinsi ulivyokutana na mwenza wako. Na je alikusumbua ? Ulimfuata mara ngapi? Hakuwahi kukutukana au kukupa maneno ya kukukatisha...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu habari za muda huu? Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu! Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu...
5 Reactions
79 Replies
9K Views
Wakuu bila shaka ni wazima wote. Wiki mbili zilizopita nilikuwa na hafla fupi ambayo ilikuwa hafla isiyokuwa na muongozo wa MC. Ilikuwa hafla ambayo nilifanya kama sehemu ya kumpongeza mke wangu...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wahenga walisema usifanye maamuzi ukiwa umefurahi sana, au ukiwa una hasira sana... Mimi naongeza, Usifanye maamuzi ukiwa ndo umefall in Love.. Bado una kimuhemuhe cha kuanza mahaba na mtu...
25 Reactions
176 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…