Umeoa/olewa halafu unakuta chaguo haliko sahihi?

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,377
10,641
Habari,
Inakuwaje, umeoa mke mzuri tu au umeolewa na mume then baada ya mwaka unakutana na mtu wa ndoto zako, utafanyaje?

Mf kwa wanachuo, kuna kasumba ya kuamua kuishi na fellow student as wife/husbsnd then akakuganda mpaka mkaamua marriage. Then baadae unakutana na chaguo la moyo...!

Utajiokoaje?
 
Ndio maana unatakiwa utulie kabla ya kuamua,ukishaingia hakuna kutoka tena,labda ulazimishe au kuvunja ndoa km flora mbasha
 
ukishajifunga ni bora ukajifunza kuwa chaguo lako tu,, ila kama una roho ngumu mnaachana na kwenda kwa chaguo lako
 
Back
Top Bottom