Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu,kiukweli nimekuwa addicted na wanawake weusi sio weusi ila weusi kama mkaa. Nikiona msichana wa hivyo uwa napagawa. elimu yangu nina diploma ya clinical medicine . -umri nina miaka 25...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa MMU, Jana nilileta mada ya Nitamtokeaje huyu Msichana? kutaka ushauri jinsi ya kumtokea mtoto mmoja hivi aliekuwa anauumiza mtima wangu baada ya kusoma ushauri wa...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa. Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi...
20 Reactions
130 Replies
10K Views
Katika hali nisiyo itegemea kutokea, mimi na mume wangu tunaheshimiana sana, kumbe kuna mmama anamuomba ampe mimba tu awe na mtoto wake basi ataridhika. Mume wangu hakuniambia ila mama kaamua...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari za Ijumaa wapendwa, Hivi unapokuwa maeneo ya faragha na mume au mke wa mtu, na ghafla tu anaanza kumsifia mke/mume wake unajisikiaje? Hatua gani utakayo chukua?
8 Reactions
98 Replies
11K Views
Hata sikupanga iwe hivi ila imebidi tu nichukue kadi ya uanachama katika kambi ya akina Marios. Hivi vidada vya siku hizi pasua kichwa kweli, sasa sitaki kufa na presha wakati umri wangu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za mchana wana MMU,natumai wote ni wazima kwa kudra za mwenyezi Mungu na wale ambao si wazima Mungu awaponye. Moja kwa moja kwenye mada husika,ni story imemtokea rafiki yangu nimeona si...
40 Reactions
296 Replies
40K Views
Hivi inakuaje mtu unamtafuta mwanamke wako mliopotezana kama miez miwili hivi, halafu ukimuomba kuonana anakwambia hela yako tuu! Duh! Sielew ujue
1 Reactions
8 Replies
855 Views
Hii jamii ya Waethiopia huwa lazima kila msichana acharazwe viboko hadi damu itiririke kama njia moja ya kufundwa. Halafu la kushangaza ni kwamba wasichana wenyewe wanaomba wacharazwe zaidi na...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Sio kwa wote, lakini vizee vyetu vya kichaga vimecharuka sana na kujaza wake wa watoto wao mimba kama kuwakomoa vijana wanaoa mjini na kuwarudisha wake zao kwa baba zao yaani wa zee wa kichaga...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana) JAMAA: Baby Japo Najua...
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Waungwana, nimeirudia hii kisa nilichanganya mada!! Kiukweli kabsaa nilimuacha Binti niliyempenda saana kwa sababu ya ushamba wangu wa Facebook,,Alipiga picha akiwa chumbani na kwa kwa juu ktk...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Come to chat Female only watapewa kipaumbele
1 Reactions
4 Replies
733 Views
Habarini wana JF, JamiiForums imekuwa ikisaidia watu mbalimbali kwa njia mbalimbali. Mimi nashindwa kuanzisha mada nyingi sana humu kwenye jukwaa sanasana zinazohusu maisha yangu kwasababu...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Habarini za hapa. Natangaza maombi ya kufunga kwa siku tatu kuwaombea wanaume wote na wanawake wote wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile(alimaarufu Tigo) Naombeni tusaidiane kwa hilo mfungo...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
I'm a 28year old lady who runs a start-up. I'm looking to meet a Tanzanian gentleman aged 30-40 who is looking for a serious relationship. I love reading and traveling, and enjoy any outdoor...
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Aslaaam aleikum Serious natafta mke muislaam ...umri Wangu ni miaka 36....awe na umri wowote Ila lazma aidha ajue dini au awe tayari kusoma dini Awe na hofu na mwenyez mungu...awe tayari na...
3 Reactions
13 Replies
928 Views
Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala...
11 Reactions
197 Replies
22K Views
Rejea uzi wangu, niliyotupia siku chache zilizopita, nikihitaji "mwanamke wa kuzaa nae tu" wanawake wengi walinishambulia sana, bila kujua kuwa hata mimi nina sababu zangu za msingi kabisa. Ni...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi nimeolewa na watoto wawili tatizo mme
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…