Natafuta mchumba awe mweusi tiiii!!

The oris

Member
Jan 4, 2017
91
167
Habari zenu,kiukweli nimekuwa addicted na wanawake weusi sio weusi ila weusi kama mkaa.
Nikiona msichana wa hivyo uwa napagawa.
elimu yangu nina diploma ya clinical medicine .
-umri nina miaka 25
-mrefu wa futi 6:2
-sio handsome wala sio mbaya
-kazi yangu ni mkulima,mfugaji vilevile ni Dr.
NB:Nataka mwanamke mweusi sio maji ya kunde,umri awe chini ya miaka 25.
elimu kidato cha 4 na kuendelea.
-asiwe anasuka awe ananyoa
 
te te te te te te te te te te te te te
 
hahaha nimechema sio nimependa

baba unyoe mama anyoe nani mwanaume humo ndani ya nyumba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom