Maombi! maombi! maombi!

suphire jay

Member
Apr 24, 2017
43
28
Habarini za hapa. Natangaza maombi ya kufunga kwa siku tatu kuwaombea wanaume wote na wanawake wote wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile(alimaarufu Tigo)

Naombeni tusaidiane kwa hilo mfungo uanze kesho kwa siku tatu.

Walengwa:
1.Wanaume wanaoliwa nyuma.
2.Kuwalinda Watoto wasilawitiwe.
3.Wanawake wasitoe kama walishatoa kiu iishe.
4.Wanaume wanaotamani kujaribu kiu iishe
5.Wanaume wanaowafanyia/wanaowalazimisha wanawake kiu iishe


Maoni mapendekezo ruksa.
 
haya mambo yaliisha tabiriwa hata minapata wakati mgumu kusema niyaombee
 
Back
Top Bottom