Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,118
- 1,483
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa.
Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi Mungu nimempata mwenza kutoka JF.
Am still in shock but it's real.... Sikutegemea,sikufikiria wala sikuwahi kuota kumpata mwenza kutoka mtandaoni....lakini mipango ya Mungu haijulikani, haifahamiki na wala haipingiki.
Msichukulie mzaha jamani JF -love connect inatenda pale usipo tarajia.....unachotakiwa kufanya ni kuamini wako yupo na anakusubiri...distance isiwe kikwazo,wanasema mapenzi upofu so unatakiwa ujitoe macho.,kua mtoto.... Nafikiri kila mmoja anajua tabia za watoto.
Kwa upande wangu nimebarikiwa kumpata mwenza mwenye vigezo zaidi ya nilivyo hitaji ( japokua siku mwambia nahitaji vigezo vya aina gani) lakini Mungu anatenda kwa njia zake....nimekua nikichart nae since 2015 na sikuwahi kuboeka hata siku1.....he is 30 and am 25
kwangu mimi iko perfect.
Mipango yote imekamilika na soon kwa mibaraka tulio jaaliwa na Mwenyezi Mungu tutafunga ndoa
Na kwa wadada jamani acheni kulalamika.....wame wapo inategemea na wewe unaishi kwa mazingira yapi, unajiwekaje, fashion zipo urembo upo lakini jitahidi usizidishe....maana hata Biblia inatuasa tuwe na kiasi....ukiwa navyo na usipo kua navyo ishi kawaida.... Maana na sisi wadada tukiwanavyo minato inatuponza.
Mwisho wa yote jamani wadada chondechonde usiishi kwa kuigiza maana utampata wa maigizo....
Asante Mungu,
Asante JF,
Te amo J..
Lo haré sentirse joven para siempre como siempre.