Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

Vipi dada limekutokea nini?

Any way kwa mtazamo wangu naona hapo bado nafsi ya huyo mtenda ambaye anamsifia mwenza wake bado iko hai, na baada hapo hupata majuto juu ya alichokuwa anakifanya. Ndio maana tunashauliwa ni vema kila mmoja kuwa na wake. Hii ya kuvamia mapori ya watu inatupotezea muda tu
 
Kwanza awez labda awe zuzu au yule anaempondea mke wake au mume wake ni zuzu kabisa... Yan m2 wa hvo akiwa na mm nambabua kofi la buku! Coz that's your time mkewe au mumewe hakuhusu kabisa! Labda awe anakuona wew kama kipozeo
 
kama hajafurahishwa na penzi lake sasa alikwenda hapo kufanya nini na kama mke au mumewe ni bora angetulia uko
Kama bado hujaoa, utakapooa ndani ya maisha ya ndoa utaja pata jibu la swali lako, vilevile kama umeshaoa jibu la swali lako lipo njiani
 
kama hajafurahishwa na penzi lake sasa alikwenda hapo kufanya nini na kama mke au mumewe ni bora angetulia uko

Wanaume tulio wengi tumeumbwa na tamaa za kimwili zaidi, hayo ya kusifia mwenzi wako ili hali uko kwenye mchepuko ni majuto ya nafsi zaidi. Na hata ke naye kama atakuwa ame cheat na bado anakumbuka mwenza wake mbele ya mchepuko wake ni juto la nafsi. Kiroho ni jambo jema maana huenda itamsaidia kufanya majuto na hatimae kuvunja hayo mahusiano haramu
 
Back
Top Bottom