soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,104
Hata sikupanga iwe hivi ila imebidi tu nichukue kadi ya uanachama katika kambi ya akina Marios. Hivi vidada vya siku hizi pasua kichwa kweli, sasa sitaki kufa na presha wakati umri wangu unaruhusu. Bora niwe na mwanamke anayejielewa, mwenye kujiheshimu.