federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
Hivi inakuaje mtu unamtafuta mwanamke wako mliopotezana kama miez miwili hivi, halafu ukimuomba kuonana anakwambia hela yako tuu!
Duh! Sielew ujue
Duh! Sielew ujue
Kizinga au ndio anauza kabisa na kwa wengneHakutaki, na anajua kua wewe ni mubahiri, si njia rahisi ya kukutimua ni kukupiga vizenga tu
Sjui inatv kwelAnauza...mwambie hata akipiga sarakasi atachonga viazi...ina tv ndani?