Jamii ya Waethiopia ambapo msichana hupokea kichapo cha mbwa ili kufundwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,285
50,552
Hii jamii ya Waethiopia huwa lazima kila msichana acharazwe viboko hadi damu itiririke kama njia moja ya kufundwa. Halafu la kushangaza ni kwamba wasichana wenyewe wanaomba wacharazwe zaidi na zaidi huku wakitabasamu kwa raha.

Afrika yetu....

1559891.jpg


1559893.jpg


1559894.jpg


1559895.jpg


A tribal ceremony during which young women are whipped in order to show the sacrifices they make for men is revealed in a series of photographs.

Members of the Hamar tribe in Ethiopia believe the elaborate scars demonstrate a woman's capacity for love, and if they fall on hard times later in life it allows them to call on those who whipped them for help.

Women are whipped as part of a Rite of Passage ceremony for boys, when female family members declare their love for the young man at the heart of the celebration.

Ethiopian women whipped in brutal rights passage ceremony
 
Duuu...mzungu alifikilia mbali kuweka matabaka ya ulimwengu wa kwanza, wa Pili na wa tatu
 
Nimeipenda, tumpeleke Yule bint sauti kama mtoto analia, aliyekuwa mali ya mzee wa perfume siku hizi kahamia kuleee itakuwa nzuri kurekebisha tabia zake ovu.
 
Kuna mila za kila aina duniani hii nayo imo
Ukisoma maajabu ya culture za mataifa duniani kuna wengine ni bora ya hao.
Hata kwetu wapo.
Ukisoma weird European cultures ni vichekesho lakini sisi ni majonzi zaidi.
Well ni vitu ambavyo walifanya Babu zao
 
Back
Top Bottom