RE: Je wangapi tuliachana na Wapenzi tuwapendao kisa kutokujua matumizi mitandao kama Facebook!?

NajuaKusoma

Member
May 8, 2017
81
60
Waungwana, nimeirudia hii kisa nilichanganya mada!!
Kiukweli kabsaa nilimuacha Binti niliyempenda saana kwa sababu ya ushamba wangu wa Facebook,,Alipiga picha akiwa chumbani na kwa kwa juu ktk Facebook kumbe alitag mdume ndo nkajua vyangu vinaliwa!!! Nilimtusi kinguoni na mpaka Leo hii namjutia nimempoteza!! Inaumaaa
 
Nakumbuka nlikua natumia facebook kama miaka mitatu mitatu iliyopita,ila naeka pics za kawaida na maelezo kama yakufunza,lkn sjawah eka pic yangu..
Kidume siku si aseme naomba pasword yako ya fb,nkamwambia kila mtu anayake iweje uombe yanguyaliyofata ......
mpk leo hii staki kuskia kitu kinaitwa fb
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Baas hata mke waang namuulizaga anijuze mabwana zake waliopo fb isije ikawa bado kuna midume ilipost picha za mahabat na kabla hajawa wangu!! Sjui namkosea maana hanaga raha ila nmekaa miaka mingi fb ndo nkajua maana ya Tag!!
 
;););)
Ahahahaaaaaa umenikumbusha , kuna binti mmoja mvaa ushungi na madela meusi ni muislam haswaa..sasa si alikuwa anamforwadia bwana yake picha za kimahaba akiwa kavaa vimini na kicjwani akiwa hajavaa ushungi,
Bahati mbaya katuma akakosea akafoward kwa group la watsapp ,
Alijidhalirisha balaaa
 
;););)
Ahahahaaaaaa umenikumbusha , kuna binti mmoja mvaa ushungi na madela meusi ni muislam haswaa..sasa si alikuwa anamforwadia bwana yake picha za kimahaba akiwa kavaa vimini na kicjwani akiwa hajavaa ushungi,
Bahati mbaya katuma akakosea akafoward kwa group la watsapp ,
Alijidhalirisha balaaa
Duhh ya kweli io ?au
 
nlikuwa napenda nikiingia fb naenda mpaka kwenye page ya kijana wangu, nayokutana nayo huko ilibidi nimu-unfriend na block juu.
 
Nshawahi kosea tuma ujumbe kwenye watsapp ukaenda kwingine dah nashukuru haukuwa na madhara makubwa lakini unaweza vunja undugu/ndoa/urafiki kwa kweli.
 
Ukitaka kujua uovu unaofanyika kupitia mitandao haswa fb kuwa na password za account ya mpenzi wako pasipo yeye kujua. Hapo ndio utatambua upo na mtu wa aina gani
 
Kwani bado kuna watu wanatumia Facebook?sijawai ona faida yake na nkaachana nayo.ujinga ujinga tu kumejaaa.
 
Mmhh afadhali sijawahi kutumia fb hata siku moja kumbe ndo mambo yake hayo......poleni yalowafika
 
Back
Top Bottom