madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
Nimevumilia ninashindwa, sasa Leo alfajiri wakati najiandaa kwenda job daah! Nikakuta kaweka kopo la chooni ndani ya ndoo ya kuhifadhia maji ya kunywa, ukimuulza hayo majibu yake khaa! Jana kalala bila kuoga kisa baridi full harufu ya majasho na naamini kwenda job kwake hajaoga maana nilimuacha hajaamka.
Hizo ndoo za kuhifadhia maji ukiziona mpaka aibu ukimuuliza jibu sina muda, usafi chooni hafanyi mpaka niingilie kati ndio afanye yaani wageni wakija wakati mwingine naombea wasiingie chooni aibu sana, huwa namsaidia mpaka kufua, kupika kutekamaji nk. Nguo anachanganya chafu na safi, kitanda hakitandkwi ninasikitika wakati wa mwanzo hakuwa hivi kabisa sijui hii ndo rangi yake.
Naombeni ushauri ningekuwa mpigaji ningekuwa nishaua soon pia nisingekuwa si mtu wa imani ningeshajitwalia kimada jamani akina dada ndo mko hivi mkishaolewa? Chumba nisipochangamka kinaweza maliza Week hakuna usafi, nimechoka sana.
Naombeni ushauri wakuu!