Mello
Senior Member
- May 7, 2017
- 110
- 207
Rejea uzi wangu, niliyotupia siku chache zilizopita, nikihitaji "mwanamke wa kuzaa nae tu" wanawake wengi walinishambulia sana, bila kujua kuwa hata mimi nina sababu zangu za msingi kabisa. Ni mara ngapi tumeona wadada wengi utawasikia, " mimi sihitaji ndoa, nahitaji mtoto tu" lakini hujawahi kusikia wanaume tukitukana au kuwashambulia kwa maneno ya kuudhi.
Jamani si kila mwanamke utakayezaa nae ni lazima umuoe. Mimi nahitaji watoto wawili tu inatosha, sihitaji ndoa, nitalea mimba, na ukishajifungua nitalea watoto wangu vizuri, hata ukitaka nikufanyie chochote nitakufanyia, ikiwemo nyumba, usafiri na hata Biashara. Lakini nizalie tu basi kama utataka kuolewa na mtu mwingine baadae sina tatizo na hilo, ruksa. I hope nimeelewa kwa kina dada.
Plz huu ndo msimamo wangu.