Kipi bora ukwel au uongo?

Hacon

Member
Nov 13, 2015
63
23
Wanajf,katika kizazi hiki cha sasa,ukipata binti na mkawa na mahusiano ya kimapenzi.Ni bora umwambie ukwel kuhusu maisha yako ya nyuma au kumwongopea maana nltaka kudate na girl,nlvyomwambia ukwel abt ma past,hantak tena.Nimejlaumu mpka bas,maana nliogopa iktokea akajua by any chance itakuwa ishu kama nspomwambia!!
So naombeni ushaur waungwana kip bora kati ya hvyo viwil!
 
kama hauna mpango naye sanaa danganya tu, ila kama una anzisha long term relationship mwambie kila kituu, then yeye ata jaji maana hata usipo sema ukweli huwa unajulikana
 
Pole sana..

Ukweli na uongo vyote vinanafasi kwenye mapenzi... Ukiwa mkweli asilimia zote ni tabu, ukiwa muongo asilimia zote ni shida zaidi...

Tumia akili kama mwanaume..


Cc: mahondaw
 
we wacha kumuongopea mwenzako..weka mambo wazi akiondoka aondoke...ila inadepend ni ukweli wa aina gani coz kuna ukweli hatari sana..mfano tuchukulie umetokea familia ya washirikina(mfano tu)huoni kumwambia ukweli utajiponza mwenyewe?..anyway they say that the truth shall set you free..
 
Inategemea huo ukweli au uongo unausema wakati gani.
Ukweli ni muhimu sana kwenye mahusiano lakini muda mwengine ukweli ukizidi unaharibu mapenzi, lakini pia uongo ni mbaya sana kwenye mapenzi lakini sometimes uongo unasaidia kulinda mahusiano yasivurugike.
 
Kiherehere chako kimekuponza.. Kuna vitu lazima ukae navyo moyoni na sio kubwabwaja tuu, ukiwa mkweli sana kuna vitu lazima uvikose ..
 
Ukweli na uwongo kila kitu kina nafasi yake ila kumbuka ukiwa muongo jitahid kuwa na kumbukumbu ili ucje ukachanganya mafail
 
Back
Top Bottom