bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,116
Habari za Leo wanajamii?
Ikiwa leo ni siku ya "mama zetu" duniani nimeona pia tutumie siku hii kuliangalia hili swala.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya sisi vijana hasa tuishio mijini, tukipata mtoto ama kwa bahati mbaya (nikimaanisha kabla ya ndoa ya kanisani) tunawapelekea bibi zao wawalee, hii hali nimeiona kwa wadada wengi hapa mkoani Dar es Salaam, wengi wao ukiwauliza husema "yupo kwa bibi yake anamfariji" maana nimekosa mtu wa kukaa naye hapa mjini au anaweza kutoa sababu yeyote ile ili mradi umwelewe.
Jamani wazazi wetu walifanya kazi kubwa ya kutulea mpaka tumekuwa watu wazima, kwanini tuwabebeshe tena mizigo ya kulea? Hata kama tuna pesa tunawatumia hii haifai tuwatumie pesa wajienjoy wakiwa hawana tena majukumu ya kutunza wajukuu.
TUWAONEE HURUMA MAMA ZETU YAANI BIBI WA WATOTO WETU!
Happy women's day