Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,094
Habarii,katika kitu kimenishinda ni hiki kukwichi kwichi bila music yani kukiwa kimya mfano umeme umekata huwa inaniwia vigumu sana katika hili tendo sifurahii hata kidogo napenda wakati wa kwichi kwichi kuwe pembeni kuwe na music..vipi wezangu huwa mnawezaje kukwichikwichi bila music sehemu imepoa tu mnawezaje?