GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Hii nimeishuhudia sana tu na nikawa hadi najiuliza maswali mengi na mpaka hivi sasa nimekosa majibu. Hapa jirani kabisa nakaa na Familia kama nne ( 4 ) hivi na hawa Wadada ni ' Masistaa Du ' hasa tena wenye ' Mashauzi ' ya kila aina lakini kuna matukio kadhaa wamekuwa wakiyafanya hadi nashangaa.
Bahati nzuri ni kwamba Wote ' wamebebeshwa ' Mimba / Ujauzito wakiwa hapa hapa Kitaa na ni Wanawake ambao wanajua mno ' Kujisitiri ' kiasi kwamba hata siku ukija kubahatisha tu umeona ama ' Mapaja ' yao au ' Chupi ' zikiwa zimelinda ' Ikulu ' zao basi inabidi ujipongeze.
Kinachonishangaza hawa Wanawake wote Wanne ( 4 ) kila mmoja wao siku aliposhikwa na uchungu wa Kujifungua nilipoitwa kwenda kusaidia ' kuwabeba ' ili kuwaingiza katika Gari wawahishwe Hospitali hakuna hata mmoja ambaye alinionea ' aibu ' na kufunika ' Uke wake / Mbunye yake ' kama ilivyokuwa awali na tena nakukumbuka wengi wao wakati ' nawabeba ' kwa kusaidiana na Waume zao ndiyo kwanza walipokuwa wakiniona nipo ndiyo walikuwa ' wanajipanua ' kabisa hadi naona ' Ikulu ' zao zote na hata Mtoto pia anavyochungulia kutaka kuja duniani kabla ya ruhusa ya Daktari.
Je ni kitu gani au hali gani usababisha Wanawake ' Wajawazito ' pindi washikwapo na ' Uchungu ' wa Kujifungua huwa hawaoni ' aibu ' ya kukaa utupu au uchi wa mnyama tena kwa Wanaume ambao huwaletea huwaringia au hata kuwadharau?
Naomba kuwasilisha na karibuni ' mtiririke ' na ' mserereke ' Wakuu.