blandina mushi
Member
- Apr 11, 2017
- 18
- 35
Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
mahitaji yako mazuri sana maana hauna vigezo vingi,msomi kwa maana ya(KKK) kujua kusoma,kuhesabu na kuandika siyo??Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
tena wametokea Dar..Halafu kwanini 99% ya wanaotafuta waume/wake au wachumba humu ni ID mpya?!
Afu jamaa nakuonea wivu na uyo wife wako mnanoga sana nkikumbuka ulivyotoa kaushuhuda ulivyompata kwenye ile thread ya mazibgira hatari ndo naamini Mke anawezapatikana maeneo yyttena wametokea Dar..
Afu jamaa nakuonea wivu na uyo wife wako mnanoga sana nkikumbuka ulivyotoa kaushuhuda ulivyompata kwenye ile thread ya mazibgira hatari ndo naamini Mke anawezapatikana maeneo yyttena wametokea Dar..
wala haitaji alieajieriwa cjui watakula majanimahitaji yako mazuri sana maana hauna vigezo vingi,msomi kwa maana ya(KKK) kujua kusoma,kuhesabu na kuandika siyo??
heheheh tena kwenye kugegedana kunavotia njaa, lazima arudi kutafuta mwenye kaziwala haitaji alieajieriwa cjui watakula majani
Wewe nawe Chizi kweli kwani wasio ajiriwa hawana maisha!! Watu wamejiajiri wenyewe na maisha yanasonga mbele, wewe subiria nyiongeza ya Magufuli utapanga mpaka ustafuwala haitaji alieajieriwa cjui watakula majani