Vidole mkuu ????....mmmhhHabar zenu wana JF.
Tuambizane hapa ni kip kinakuvutia kwa Mwanamke, maana hawa viumbe wanavutia kwa vitu vingi kwa kweli. Kwangu mm navutiwa na vidole, aisee napenda vidole vya hawa viumbe. Tena ukute ni vinene kiasi alafu vilaini, vuta picha vikiwa vinapita maeneo flan hiv.
Hahahh vidole eti ...Vidole mkuu ????....mmmhh
mimi napenda mwanamke anayeweza kunipa stress ili nisiote kitambi..!!!!
Uko kama mimimimi napenda mwanamke anayeweza kunipa stress ili nisiote kitambi..!!!!