Mbinu ya kumfunga kamba mpenzi wako milele asikuache

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Mambo yanayowaumiza wanadamu Na kuwasumbukisha duniani ni mapenzi pesa Na maradhi.
Lakini ikiwa mtu atafanikiwa kutengemaa kimapenzi uwezekano Wa kutatua changamoto za kipesa Na maradhi ni mkubwa mfano atakuwa Na muda Na utulivu Wa kutafuta pesa.
Pia akiweza kumthibiti mpenziwe asimsariti maambukizi ya magonjwa hayatakuwepo.
Kuna watu hubeza sana mada zangu ninazoleta Ila hii ni elimu ninayoitoa buree ingawa ulipaswa ulipie.
Nichukue nafasi hii kuwashukuru wale wote wanao kuja pm kunishukuru Na kunipa mrejesho Na kuomba ushauri zaidi.
Tuanze sasa,

Kama una mpenzi wako umpendae kwa dhati ya moyo wako unaweza kuhisi jinsi utakavyogundua kuwa ana hawara au mchepuko uchungu Na maumivu ya moyo utakayo kumbana nayo.
Kuna waliokatisha maisha au kula kiapo cha kutopenda abadani.

Sasa ikiwa unahisi kuwa mpenzi wako amebadilika ghafla tofauti Na awali,Na anaonesha Kuna mtu anaizuzua akili yake Na wewe unaonekana zilipendwa tumia njia hii hapa chini kuua hisia zake za kimapenzi kwa huyo mwizi Wa mpenzi wako!!!

NJIA YA UTABIRI!!!
Angalia mfano huu mteja ameingia duka A anakaribishwa Na muuzaji kwa bashasha,kisha anaulizia bidhaa Fulani anaambiwa bei Ila haridhiki Na bei au ubora Wa bidhaa husika,mteja anataka kuondoka halaf muuzaji anamwambia kuwa hata maduka mengine ya jirani hawana bidhaa bora Na nzuri kama hiyo kwa bei rahisi kama yake.
Iwapo mteja huyu ataenda duka B Na kukuta aliyoambiwa kule dukaA ni kweli lazima atarudi duka A!!.
Kama itakuwa tofauti hatarudi.

Sasa kama mpenzi wako ana mchepuko mwambie anaweza kuendelea Na huyo mtu Ila ajue kuwa hatapata mpenzi bora kama wewe!,nenda mbele zaidi tabiri tabia chafu za huyo jamaa kama ukali,kutojali,utapeli, kibamia na kadha Wa kadha!!

Sasa iwapo huyo mwizi wako,mpenzi wako akagundua Tabia yoyote chafu uliyotabiri kumuhusu,basi utakuwa umeua kabisa hisia zake juu ya mtu huyo Na kurudi kwako kama kifaranga.
Chao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom