Aisee mama ana nafasi kubwa ya kumtengeneza mtoto, kiafya,kihisia,kimahusiano,kimaadili na kadhalika. Wamama wengi hujitahidi kwa kadiri ya uwezo wao kuona watoto wao wakikua vizuri katika maeneo hayo. Mama zetu tunaowatakia heri leo hawapo perfect ila tunawapenda sana kwa sababu ndani yetu walithibitisha kujitahidi kwao. Ila jama jama usiombe kuna wamama MIIBA.
Kwa kusema hayo,sishangazwi na alichokileta mtoa uzi. Najaribu kuyaelewa maumivu yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.