Wanawake tuwe makini na Rafiki zetu

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
154,426
458,800
Hii story nimekutana nayo sehemu ingekuwa wewe ungeweza kumwambia rafiki yako?

Jaman mm nina rafiki zangu tupo wa3 uwa tunashirikishana mambo yetu ya kimaisha ushauri na kadhalika.

mwaka jana mmoja wetu akaolewa japo ndio tupo wote lakini majukumu yameongezeka na sasa ni mjamzito sasa akawa anakuja kwetu kama marafiki analalamika mme wake anamchepuko yaaan hadi amebadilika.

mishauri mingi akapata pale sasa mimi juzi nimeenda kwa huyu rafiki yangu mwingine alilazwa nikakaa nae na nikawa na simu yake muda mwingi nilichokuja kugundua ni kuwa yeye ndo anatoka na shemela wetu.

na homa ile alikuwa ametoa mimbasasa apa nawaza nimwambie mwenye mume au niuchune na wote ni shost zangu wa damu.

me kama shunie jamaan tusiruhusu rafiki zetu wajenge urafiki wa ukaribu sana na mume au mwanaume wako, rafiki ni rafiki yako wewe sio wa mume wako
mume ana mipaka yake.
 
Hakuna mwenye unafuu kati ya huyo rafiki wa kike na huyo mume wa rafiki yako wote ni wezi. la msingi usiongee chochote kuhusu hilo maana unaweza kuvunja ndoa ya watu wakakulaumu bure japo najua itakuwia ngumu maana unahisi unatakiwa kutenda haki lakini wakati ukifikiria kusema ukweli ndo pale unapoharibu kwingine kama ndoa ya mwenzako kaa kimya kabisa . pili sawa marafiki ni muhimu nataka nikuambie kwa sisi wakristo biblia inasema ajitafutiae marafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe hao marafiki zako kaa chini na ufikirie kama wana tija kubwa sana katika maisha yako kama hakuna omba Mungu akupe wengine kama sio basi kuwa tuyari kwa ambacho kimemtokea rafiki yako kitakutokea na wewe pia au mmoja kati yenu.
 
Back
Top Bottom