mzibua chemba
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 476
- 412
Huu mtindo naona unakuja kwa kasi ya ajabu sana yaani ndiyo style zao siku hizi hadi unakuta anajisahau wiki unakuta una hamu anakuambia yupo blid unakausha ukimaliza wiki moja anamwomba gem anajisahau anakuambia yupo blid tena.
Kuna siku anaweza kuja ukajua unapiga gem mkiwa katikati ya romance akakuambia yupo blid. Wengine wanaeka hadi tomato ili mradi kukukomoa tuu huku anataka umhudumie mbona kwenye kuomba pesa mpo mstari wa mbele?
Badilikeni aisee mnatuumiza sana.