Umeoa mke wako mnaonana kila baada ya mwezi au na kuendelea, huyo ni mke au mchepuko?

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Wadau,

Hili jambo wamekuwa wakikumbana nalo watu wengi hasa waajiriwa wa Serikalini. Mimi kwangu nisingependa linitokee na ikitokea nadhani itabidi achague moja ndoa au awe girlfriend(mchepuko) nitafute mke manake haiingii akilini tena wengine unakuta mshahara anaopata mama kwa mwezi (take home) haitoshi hata matumizi ya nyumbani kwa mwezi kwa maisha ya kibongobongo.

Wadau hili mnalionaje?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hujielewi. Mfano: Wewe na mkeo wote mnafanya kazi Dar, mmejenga nyumba Dar na watoto wenu wanasoma Dar. Je ukihamishwa kikazi kwenda Dodoma. Je utamwachia nyumba nani? Je MKE wako aache kazi (kumbuka kazi Kumar's kwa sasa ni ngumu)(Pia kumbuka ujafa ujaumbika, je ukifa atatunza familia vipi na ulimwachisha kazi). Je nyumba utauza ukaanze upya? Vipi masoma ya watoto. Nimeona vijana wengi wakiishi kwa Ndugu kisa wazazi wanahama kikazi kila baada ya muda. Je watoto hao wangehama Mara ngapi na wangesoma shule ngapi Tanzania. Usihofu kuhusu mkeo, UWAMINIFU ni muhimu sana. Chapa kazi hata kama umepangwa KIGOMA au SUMBAWANGA.
 
s
Wadau ili jambo wamekuwa wakikumbana nalo watu wengi hasa waajiriwa wa Serikalini....Mimi kwangu nisingependa linitokee na ikitokea nadhani itabidi achague moja ndoa au awe girlfriend(mchepuko) nitafute mke manake haiingii akilini...tena wengine unakuta mshahara anaopata Mama kwa mwezi (take home)...haitoshi hata matumizi ya nyumbani kwa mwezi..kwa maisha ya kibongobongo....cjui wadau ili mnalionaje?
subiri kwanza ikikutokea ndio utajua akihamishwa/ukihamishwa atakuwa mchepuko au laaaa umewaza pafupi mnoooo
 
eti mshahara hautoshi kulisha familia ngoja ufukuzwe kazi ndo utajua kama mshahara wake hautoshi mijitu ina dharau kaoe golkeeper wako siku yatakukuta majanga ndo utamkumbuka Yule wa mshahara wa laki1
 
Wadau ili jambo wamekuwa wakikumbana nalo watu wengi hasa waajiriwa wa Serikalini....Mimi kwangu nisingependa linitokee na ikitokea nadhani itabidi achague moja ndoa au awe girlfriend(mchepuko) nitafute mke manake haiingii akilini...tena wengine unakuta mshahara anaopata Mama kwa mwezi (take home)...haitoshi hata matumizi ya nyumbani kwa mwezi..kwa maisha ya kibongobongo....cjui wadau ili mnalionaje?
Hilo jambo LA kawaida kabisa,inategemea shughuri zenu za kiuchumi mnafanyia wapi,
Ukipata kazi inayolipa vizuri,nje ya mkoa mnaoishi,utakwenda?au utakataa ili ukae na mkeo,
Ni maisha ya kutafuta ambayo yanafanya ukae mbali na mwenzio,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mwanangu anapenda vitu vya hamu
FB_IMG_1494474469378.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hujielewi. Mfano: Wewe na mkeo wote mnafanya kazi Dar, mmejenga nyumba Dar na watoto wenu wanasoma Dar. Je ukihamishwa kikazi kwenda Dodoma. Je utamwachia nyumba nani? Je MKE wako aache kazi (kumbuka kazi Kumar's kwa sasa ni ngumu)(Pia kumbuka ujafa ujaumbika, je ukifa atatunza familia vipi na ulimwachisha kazi). Je nyumba utauza ukaanze upya? Vipi masoma ya watoto. Nimeona vijana wengi wakiishi kwa Ndugu kisa wazazi wanahama kikazi kila baada ya muda. Je watoto hao wangehama Mara ngapi na wangesoma shule ngapi Tanzania. Usihofu kuhusu mkeo, UWAMINIFU ni muhimu sana. Chapa kazi hata kama umepangwa KIGOMA au SUMBAWANGA.
Pamoja na maelezo yote point ni hapo kwenye uhaminifu...kwa hiyo kama uaminifu hamna basi ndo iendelee kisa watoto...kwani tunafuta pesa kwa ajili ya nini hapa duniani?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndoa ni zaidi ya unavyowaza wewe!!! Kila kitu ni makubaliano tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
huyu nae nauhakika hajaoa anaimagine magine tuuuuuuu khaaaaaa usioe mfanyakazi oa mama wa nyumbani
 
Back
Top Bottom