Natamani kumjua aliye chukua nafasi yangu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Ni kama mwezi tangu niachane na mchumba wangu ila moyo wangu una shauku ya kumjua aliye chukua nafasi yangu yani mchumba wake mpya ex wangu
 
mkataba ulisha expaya..ya nn kujishughulisha na huyo mdada..mwache afanye ya kwake na wewe na hamsini zako..
 
Ni kama mwezi tangu niachane na mchumba wangu ila moyo wangu una shauku ya kumjua aliye chukua nafasi yangu yani mchumba wake mpya ex wangu
Kwa haya maandishi sio bure una matatizo ya "OIL" plus kibamiaaaa baba.tumia power bank kabla na huyo haujapolwa tena.
 
Dnt try that yaani just move on utaumia hasira zitakufanya umtukane huyo mtu
 
Kufungwa kwa mlango huu ndiyo mwanzo wa kufunguliwa mlango mwingine. Tafakari ulipokosea ili ukimpata mwingine usirudie makosa, mshukuru Mungu kisha mwombe akupatie wa kufanana nawe, hakika yupo na ukimpata utafurahi. Kuhangaika na mtu asiyekuhusu utakutana na yanayokuumiza na mwishowe utakata tamaa. Leave it and move on.
 
Kama unamkumbuka mpaka kufikia kufikiria aliyechukua nafasi yako ni dhahiri kuwa bado unampenda, kwanini ulimwacha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom