whatsapp online
Member
- Jan 17, 2017
- 86
- 95
Jamani tuongeeni ukweli, hivi ni % ngapi ya wanaume ambao tayari wana mahusiano (mke, mchumba, n.k) akipata mrembo mwingine mzuri anayejitambua atakataa kuwa nae? Mimi ni mmoja wa wanaume walioshindwa kutii kiapo, (natamani sana kutii).
Hatari inaanzia pale ninaposoma biblia na kukuta manabii wengi walizaa na wanawake zaidi ya mmoja, mfano Sulemani wanawake wengi sana, Ibrahim alizaa na house girl, Yakobo alioa mtu na dada yake na akazaa nao pamoja na housegirl zao wote. Na wote Mungu aliwabariki sana.
Kingine, wanawake wanatupenda sana waume za watu na hawaoni dhambi kuwa nao kuliko wanaume dhidi ya wake za watu. Hii wameumbiwa na Mungu na kiuhalisia sio dhambi na ndio asili ilivyo. Dhambi ililetwa na dini na madhehebu.
Sasa mazingira haya nafikiria kuwa dhambi ni kuchukua mke wa mtu na sio mwanamke single.
Mind you mimi sikatai watoto warembo, wanatubariki sana. Sema tunaogopa vitu vingi, maradhi, kuogopa kudhalilika kwa sababu ya madhehebu na watu watakuonaje, au mtu ana haya, uchumi mdogo n.k. Ndo mana unaona tuko na mke mmoja tu.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app