Maajabu ya nyumba za wageni

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,118
4,761
Ukifanya utafiti katika nyumba za wageni ( Guest, Lodge na Hotel) zilizo katika miji mbalimbali, basi utakutana na haya.

Mathalan nyumba ipo Dar es Salaam, ukikagua daftari la kuandikisha walioenda kupata huduma humo unaweza cheka mwenyewe.

Mtu unakuta kaandika jina lake vizuri tuu (wengi tunaandikaga majina feki), anapotoka unakuta kajaza Dar, aendako unakuta kajaza Dar, mbali zaidi unakuta kabila kajaza Mzaramo, kazi Mfanyabiashara. Heeehehee, sasa hapa unajiuliza inamaana huyu nyumba yake imekuwa hailalikia ama vipi.?

Au kwa kuwa ni mfanyabiashara je ni kwamba leo amejipa likizo na anakula pension ama ni aje.?
 
Back
Top Bottom