Mlio na watoto kuweni makini na mnayofanya mbele yao

John Amigo

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
627
414
Nina mpangaji wetu hapa kapanga nyumba kitambo kipindi hicho msela kaanza maisha hajawai kutusumbua, akaja analeta msichana, mchizi akanipanga huyu manzi mimi ndio boyfriend wake wa kwanza weekend anakujaga mara moja moja then anaondoka.

Miaka kama mitatu baadae yule yule msichana akaja kuishi ile nyumba wakafunga ndoa ya kiislam, wakapata mtoto akakua mle mle mpaka anaanza darasa la 1.

Mke wake kila siku anamfanyia vitimbwi mara kwa mara wakati jamaa yeye anarudi home saa 1 au 2, jamaa alikua akinisimulia visa mle ndani yeye na mke wake wanalala vitanda tofauti, jamaa akirudi home hasalimiwi wala kuulizwa za kazi yaani kama vile hajapita mtu. Akiuliza chakula vipi mke anamwambia hatujakupikia mbele ya mtoto wake wa darasa la 1, sometime wakigombana mke anawezashika nyeti za mchizi mbele ya mtoto yaani aibu wanapigana mbele ya mtoto.

Majuzi mke kaaga anaenda kwenye kikao cha shule cha mtoto mchizi akaamua kwenda kupeleleza hadi shule kama kuna kikao wakamwambia hakuna kikao chochote, mke kapigiwa simu anaulizwa na mwana uko wapi? Anamkatia simu. Kichaa sasa jamaa kamtolea uvivu kamtimua karudishwa kwao na talaka mbele ya mtoto wake. Wakati huohuo huyo mwanamke anajifanya mtu wa dini anamkurupua mtoto asubuhi asubuhi saa 1 aende madrasa na jioni pia aende madrasa sasa hapo sijui anamfundisha nini mtoto wakati maovu yote ya yule mama mtoto anayajua.

Wazo langu nyie mliooa kama mna watoto anagalieni namna ya kumaliza tofauti zenu lakini vinginevyo mnafundisha watoto tabia mbaya mtoto kama huyo hata akija naye kukua hatokua na adabu maana atakua anarithi vya mama yake.
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
yani mkataba unaisha mwez wa 6 mzee nae kamwambia asepe june asirenew yani wanawake wengine miyayusho mchiz kakaa miaka zaid ya 7 anakuja kufukuzwa kwny nyumba kwa ajil ya dem mchiz ataumia sana
 
Nmesoma kwa shida sana mpaka kuelewa maana una muandiko m'baya kweli kweli
Ila mpe pole jamaa lkn hayo yote anayofanyiwa na mke wake yeye ndo aliachia mlango angesimama kwenye nafasi yake kama mwanaume huenda yasingetokea kwa kiasi hiko
 
Nmesoma kwa shida sana mpaka kuelewa maana una muandiko m'baya kweli kweli
Ila mpe pole jamaa lkn hayo yote anayofanyiwa na mke wake yeye ndo aliachia mlango angesimama kwenye nafasi yake kama mwanaume huenda yasingetokea kwa kiasi hiko
kwan apa wanagawa zawadi za muandiko ?
 
Back
Top Bottom