Prince Naahjum_
Senior Member
- Jun 13, 2016
- 139
- 125
Wanawake ni wengi lakini wife material ni wachache, hata wanaume ni wengi ila husband material ni wachache. Mfanye mwanamke wako awe wife material na wewe utakuwa husband material wa kujivunia!
Mwenye busara mmoja amepata kusema "Mwanaume anaemjali mwanamke wake kama mtoto wa mfalme, ni ushahidi kwamba mwanaume huyo amezaliwa na kulelewa na mikono ya malikia wa nguvu".
Hii ni TRUE haina haja ya kuuliza.