Hivi unaamini kuna wapendanao/wanandoa wanaofanana sura

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Habari za mida hii

Kuna baadhi ya watu wanaamini eti kuna wapendanao wakiishi pamoja kwa muda mrefu au wakiwa na mapenzi ya kweli kati yao hupelekea sura zao kuanza kufanana

Je ushawahi kukutana na wapendanao/wapenzi waliofanana sura zao hadi ukahisi ni ndugu wa damu??
 
Kufanana kwa sura sidhani!

Wanaweza kufanana kwa kuonesha sura zenye furaha ama huzuni wote,
hiyo huweza kusababishwa na maisha wanayoishi
 
Inasemekana wanaume huchagua wanawake wanaofanana na mama zao kwa sura au tabia. Na wanandoa nyingi ambao hawajafanana ndoa zao huwa hazidumu ila wale wanaofananaa hudumuu hadi kifoo watapata misukosukoo ila mwisho wa siku watakuwa pamoja.
 
Habari za mida hii

Kuna baadhi ya watu wanaamini eti kuna wapendanao wakiishi pamoja kwa muda mrefu au wakiwa na mapenzi ya kweli kati yao hupelekea sura zao kuanza kufanana

Je ushawahi kukutana na wapendanao/wapenzi waliofanana sura zao hadi ukahisi ni ndugu wa damu??

Hadi nimuone mke wa Wasira aka Tyson ndiyo nitaamini
 
Back
Top Bottom